Shangwe la Rais Samia, Korogwe, Bumbuli na Lushoto
Wananchi katika mikutano ya Rais Samia
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kikazi katika maeneo ya Bumbuli, Lushoto, Mkomazi, na Korogwe, akilenga kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza changamoto za wananchi.