Wanafunzi 7 wafukuzwa shule kisa vurugu shuleni
Jeshi la Polisi mkoani Geita limesema kwamba wanafunzi saba wa kidato cha sita, katika shule ya Sekondari ya Geita (GESECO) wamefukuzwa shule baada ya kukutwa na hatia ya kuhamasisha vurugu zilizofanyika shuleni usiku wa Februari 20, 2025.