Canada yapanga kuitambua Palestina Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney amesema Canada inapanga kulitambua taifa la Palestina mwezi Septemba, na kuwa taifa la tatu la G7 kutoa tangazo hilo katika siku za hivi karibuni. Read more about Canada yapanga kuitambua Palestina