Majaliwa amwakilisha Rais Samia Actif 2025
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewasili mjini St. George’s, nchini Grenada jana Jumapili, Julai 27, 2025 akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la nne wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (Afri-Caribbean Trade and Investment Forum – ACTIF 2025).