Sababu ya Ngumoha kukosa namba mpya kikosini Liverpool wametambulisha jezi mpya pamoja na namba za wachezaji kwa msimu wa 2025/26. Lakini macho yote yako kwa Rio Ngumoha jina lake halikuonekana kwenye list ya namba mpya. Read more about Sababu ya Ngumoha kukosa namba mpya kikosini