Iran yaua magaidi 6 yakamata 2 wakiwa hai Taarifa kutoka Idara ya Usalama ya Mkoa wa Sistan na Baluchestan imeeleza kuwa kikundi hicho kilikuwa na lengo la kushambulia kituo muhimu cha taifa kilichopo mashariki mwa Iran. Read more about Iran yaua magaidi 6 yakamata 2 wakiwa hai