Binadamu apandikiziwa pafu la Nguruwe Madaktari bingwa wa upasuaji nchini China wamefanya upandikizaji wa kwanza kabisa wa pafu la nguruwe lililobadilishwa vinasaba ndani ya mtu ambaye ubongo wake umepoteza uwezo wa kufanya kazi. Read more about Binadamu apandikiziwa pafu la Nguruwe