CHADEMA kuwakumbuka mashujaa Septemba 7, 2025 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapanga kufanya maadhimisho ya kuwakumbuka mashujaa wa chama Septemba 7 mwaka huu yakiwa ni maamuzi ya Baraza kuu la chama hicho. Read more about CHADEMA kuwakumbuka mashujaa Septemba 7, 2025