Vifo vyaongezeka Afghanistan Vifo vya tetemeko la ardhi nchini Afghanistan vimefika 1,411 huku zaidi ya nyumba 8,000 zikiharibiwa. Wokoaji wanapambana kufika vijiji vilivyo milimani wakati misaada ya kimataifa ikianza kumiminika. Read more about Vifo vyaongezeka Afghanistan