Trump atuma mjumbe mwingine kwa Putin

Rais Donald Trump wa Marekani amesema Jumanne kwamba anamtuma mjumbe wake Steve Witkoff kukutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin huko Moscow wiki ijayo, kama sehemu ya mpango wake wa kuvimaliza vita nchini Ukraine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS