Viongozi wa upinzani TZ wazuiwa kuingia Angola
Msafara wa Viongozi wa ACT Wazalendo ukiongozwa na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu na Mwenyekiti wa chama Othman Masoud Othman, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar umezuiwa kuingia nchini Angola na mamlaka za serikali za nchi hiyo.