Trump alishtaki gazeti la New York Times
Rais wa Marekani Donald Trump amelishtaki gazeti la New York Times, waandishi wake wanne, na mchapishaji Penguin Random House kwa angalau dola bilioni 15, kwa madai ya kashifa na uharibifu wa sifa mbele ya umma.