Mahakama yatupilia mbali kesi dhidi ya Chadema

Akisoma uamuzi wa Mahakama hiyo leo, Ijumaa Novemba 28.2025 Jaji Awamu Mbagwa amesema, Mahakama imekubaliana na pingamizi lililokuwa limewekwa na Wakili wa utetezi Hekima Mwasipu kuwa maombi hayo yameletwa Mahakamani hapo nje ya muda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS