Nadhani Putin ni tajiri zaidi yangu - Elon Musk
Kwenye mahojiano yake na Mathias Döpfner ambaye ni mkurugenzi mkuu wa makampuni ya ''Axel Springer SE'' Bilionea namba moja Duniani Elon Musk amefunguka kwa mara ya kwanza kwa kudai kwamba kwa mtazamo wake anadhani kuwa Vladimir Putin ambaye ni Rais wa urusi ni tajiri zaidi yake.