Jinamizi la majeraha lamuandama Neymar aumia tena
Jinamizi la majeruhi limeendelea kumuandama Nahodha wa timu ya Brazil Neymar Junior baada ya jana kuumia tena misuli kwenye mchezo wa ligi ya Mabingwa barani Asia uliozikutanisha timu za Al-Hilal dhidi ya Esteghlal jana Jumatatu Novemba 4, 2024.