Kovács akabidhiwa fainali ya PSG na Inter
Kuelekea mchezo wa fainali Ligi ya mabingwa barani Ulaya (UEFA Champions League) kati ya kikosi cha PSG dhidi ya Inter Milan, István Kovács raia wa Romania ameteuliwa kusimamia sheria 17 za soka huko mjini Munich hapo kesho majira ya Saa nne kamili usiku.