Namna ya kuepukana na usumbufu wa namba ngeni
Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao wamekuwa wakipokea message nyingi kwenye WhatsApp yako za wale watu wa save namba yangu kwa ajili ya kufahamiana zaidi na maswala mazima ya connection, jumbe ambazo huenda zimekukera kwa namna moja au nyingine