Polisi watakiwa kumaliza uhalifu mitandaoni

Waziri wa mambo ya ndani, Mhandisi Hamad Masaunui

Jeshi la Polisi nchini limetakiwa kuongeza nguvu kwenye rasilimali watu, vifaa na uwekezaji kwenye tehama ili kupambana na uhalifu wa mitandaoni ambao umekuwa ukisababisha changamoto kwa wananchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS