Daigneaut aipeleka Thunder fainal ya NBA

Kocha mkuu wa timu ya Okhlahoma City Thunder inayoshiriki ligi kuu ya mpira wa kikapu nchini Marekani ukanda wa magharibi  Mark Daigneaut amefanikiwa kuipeleka Thunder kwenye  fainal ya NBA  baada ya miaka kumi na tatu kupita 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS