Michael Olise (Bayern): Fundi wa mguu wa kushoto, ana magoli 11 na assist 17 msimu huu. Huyu ndiye chaguo la kwanza, ila Bayern anatakubali ofa?
Yan Diomande (RB Leipzig): Dogo wa miaka 19, ana kasi na nguvu (magoli 14 msimu huu). anatajwa na wengi kwa sasa.
Anthony Gordon (Newcastle): Anaijua Premier League nje ndani.
Mohammed Kudus (Spurs): Pira Burudani akiwa uwanjani ufundi kama wa chama lazima uhusike.
Jarrod Bowen (West Ham): Mzoefu, lakini umri umeanza kumtupa mkono kidogo.
Kati ya hawa, nani unaona anatosha kuvaa viatu vya Salah pale Anfield?



