Friday , 17th Oct , 2025

Mabingwa wa ligi kuu ya wanawake Tanzania bara na Afrika Mashariki na kati JKT Queens wameingia katika orodha ya klabu 10 zinazowania tuzo ya klabu bora ya mwaka barani Afrika.

Klabu wanazoshindana nazo ni Gaborone United,Asec Mimosas, TP Mazembe, 15 De Agosto,USFAS Bamako, ASFAR, Bayelsa Queens FC, A igles DE LA Medina na Mamelodi Sundowns.