Saturday , 28th Jun , 2025

AS Monaco imetangaza kumsaini kiungo wa zamani wa Manchester United na Juventus, Mfaransa Paul Pogba, kwa mkataba wa miaka miwili.

Pogba hatimaye amesaini mkataba huo mara baada baada ya kumaliza kutumikia kifungo chake cha miezi 18 cha kutojihusisha na soka kwa kosa la matumizi ya dawa za kusisimua misuli.