Saturday , 29th Mar , 2025

Mmoja wa wadau wa muziki hapa Tanzania ametoa mtazamo wake juu ya wimbo wa Nesa Nesa wa msanii Rayvanny kuwa umerudi upya katika Trending na ni kwasababu ya Verse aliyoifanya Msanii Diamond katika ngoma hiyo.

Pichani ni Rayvanny na Diamond

Kupitia mtandao wa X Zamani Twitter mdau huyo ameandika..........Bado Vanny Boy Anapaswa kujitafakari, Nesa Nesa Imerudi Upya with Most Diamond Platnumz’s fovarable Verses, Kwanini Sio Yeye ? 

Rayvanny Ameshuka Iwe Allert call, Asipuuze Haya Maneno, Asituprove Kutoka WCB ndio Chanzo cha Yote Ingawaje Inaweza kuwa Kweli ''