Ombi hilo limetolewa kwenye kongamano la wanawake na teknolojia lililolenga kuongeza ushiriki wa wenawake na mabadiliko ya matumizi ya Teknolojia duniani.
" Naishauri Seriklai kupitia Elimu zetu hizi wanaweza wakaweka miundombinu rafiki itakayosaidia mabinti wengi au watoto Wengi kutamani kushiriki na kujua namna bora na kujilinda pia na mabadiliko ya teknolojia yanayoendelea duniani", LILIA MADEJE-Mtaalam wa Teknolojia
"Ili wanawake tiweze kushiiki kwenye mapinduzi haya inabidi kwanza Kabisa tukubali kuwa tunaweza maana wanawake wengi wanaimani kuwa wanaume ndio watu pekee wenastahili kujua matumizi ya Tehama laking sio kweli na kuna baadhi yetu wanaamini kuwa akili mnemba ni kwa wanaume tu wakati hihi ipo kwetu sote nashauri tuchukue hatua ili tuweze kuleta mabadilik chanya kiuchumi kwa maendeleo ya chi yetu", JOAN HENRY-Mtaalam wa Teknolojia.
"Kumekuwa na changamoto nyingi sana za matatizo ya Afya ya akili, lakini sasa hivi mtu anaweza kupata usaidizi bila kutoa taarifa zake sahihi na akaepukana na changamoto za kimitandao zinazoendelea duniani, tukiboreshewa mazingira naimani ushiriki wa wanawake utaongezeka kwenye sekta ya teknolojia nichin", NICE NICHOLAUS-Mtaalam wa Teknolojia
Kwa upende wake mkurygenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA nchini, Dokta Nkundwe Mwasaga anaelezea namna wanavyoendelea kuboresha miundombinu ya TEHAMA nchini.
"Kwa kushirikiana na na UCSAF, tunaende ea kwanza kuboresha upatikanal wa huduma za mtandao nchini hii itasaidia ili watts wa maeneeo yote kupata huduma ya mawasiliano kila eneo la chi hit", DKT.NKUNDWE MWASAGA-Mkurugenzi Mkuy Tume ya Tehama
Aidha anaeleze lengo la Time hiyo kuhusy mabadiliko ya TEHAMA na ukuaji wa chumi wa mtu mmoja mmole.
"Lengo letu kuhakikisha kuwa abadiliko ya Tehama yanamfikia kila mmoja na kila it anashiriki katike mabadilike haya na namna gani anaweza kupitia Tehama kufanya mabadiliko ya uchumi wake", DKTINKUNDWE MWASAGA-Mkurugenzi Mkyu Tume ya Tehama
Monday , 14th Oct , 2024
Wanawake waneojishughulisha na shughuli za Teknolojia nchini wameiomba serikali kuweka mitala ya Elimu pamoja na miundombinu ya TEHAMA, iweze kumarishwa kuanzia ngazi za awali ili kuwajengea wezo na kuwaandaa mabinti na wanawake dhidi ya mabadiliko ya teknololia na uchumi duniani