Friday , 4th Oct , 2024

Mtangazaji wa #WasafiFM Dida Shaibu amefariki dunia.

Dida Shaibu

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mtangazaji mwenzake Maulid Kitenge amesema Dida amefariki usiku wa leo Oktoba 4, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu.