Picha ya Cappuccino Tunda
“Nasukumwa sana kuwa mchungaji, mtaniamini? Mtatoa sadaka kwa uaminifu”?
Ipi Comment yako kwa uamuzi wa Cappuccino Tunda kuwa Mchungaji?
Baby Mama wa msanii Whozu Cappuccino Tunda ameweka wazi kwamba anasukumwa sana kutaka kuwa mchungaji baada ya kuandika ujumbe huu kupitia page yake ya Instagram.
Picha ya Cappuccino Tunda
“Nasukumwa sana kuwa mchungaji, mtaniamini? Mtatoa sadaka kwa uaminifu”?
Ipi Comment yako kwa uamuzi wa Cappuccino Tunda kuwa Mchungaji?