Haya ni matokeo ya michezo minne (4) nyuma walipokutana Manchester united vs Tottenham Hotspur
Kwanza kwenye asilimia za ushindi Man U amepewa 44.5% huku Tottenham Hotspur akipewa 31.1%
1. 2023 Tottenham Hotspur 2 vs Man U 0
2. 2023 Tottenham Hotspur 2 vs Man U 2
3. 2022 Man U 2 vs Tottenham Hotspur 0
4. 2022 Man U 3 vs Tottenham Hotspur 2
5. 2021 Tottenham Hotspur 0 vs Man U 3
Kutokana na mfululizo wa matokeo hayo kwenye mkeka wako unaenda na nani hapa? tuandikie hapo chini