Saturday , 16th Dec , 2023

Mkali wa muziki wa R&B Juma Jux 'The African Boy' wamoto sana na huenda 2023 ukawa mwaka wake bora baada ya kutamba na Hit zake 'Shugga Daddy' na 'Enjoy' ameibuka upya na Collabo la kimataifa alioshirikisha wasanii kutoka Ghana na Cape Verde.

Picha ya Jux

Ngoma hiyo inaitwa 'Hello' ikiwa chini ya Prime Music Partner akiwashirikisha wasanii Mzveegh wa Ghana na DJ odje Sabboy  kutoka Cape Verde. 

Mpaka sasa kwa mwaka huu Hit yake ya Shugga Daddy ina views Milioni 4.7 na Enjoy yenye views Milioni 45 ina views Milioni 45 mjini Youtube. Ngoma hizo zimemfanya Jux kushine kimataifa kwa kupiga shows na collabo.