Picha ya Kanye West
Siku ya jana staa huyo alionekana Miami akitumbuiza ngoma yake ya 'All of the lights' aliyompa shavu Rihanna.
Itoshe kusema #KanyeWest amerudi kwenye maisha ya muziki baada ya ukimya wa muda mrefu.
Rapa Kanye West 'Ye' ameweka historia ya kutofanya show yoyote kwa zaidi ya mwaka mzima ambapo show yake ya mwisho ilikuwa ni uzinduzi wa Album yake ya Donda 2, February 2022.