Wednesday , 13th Dec , 2023

Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya gari la abiria la kampuni ya Batco linalofanya safari zake kati ya Mwanza na Mahaha wilayani Magu linadaiwa kusombwa na maji mapema asubuhi wakati dereva akijaribu kuvuka daraja la Mto Simiyu.

Gari lilotumbukia mtoni

Afisa Habari wa wilaya ya Magu amekiri kutokea kwa ajali hiyo na kwamba uongozi upo njiani kuelekea eneo la tukio.

Taarifa kamili zaidi zinafuata