Saturday , 2nd Dec , 2023

Rapa Young Lunya anasema nguo zake nyingi ananunua nchi za nje kwa sababu anasafiri sana pia Bongo kuna uhaba wa kupata nguo na viatu Original.

Picha ya Young Lunya kushoto, upande wa kulia ni Country Wizzy

Young Lunya ameongeza kusema anapenda sana Fashion na mwakani mashabiki zake wategemee kumuona kwenye shows za kimataifa zinahusu suala zima la Fashion na Lifestyle.

Zaidi mtazame hapa chini kwenye video akizungumzia hilo.