Sunday , 19th Nov , 2023

Kutana na mwanamichezo Loveness Tarimo ambaye anatrend kwa sasa mitandaoni kwa kuonekana na muonekano wa kiume amemtaja staa wa muziki Diamond Platnumz kuwa 'Crush' wake.

Picha ya Loveness na Diamond Platnumz

Zaidi tazama hapa chini kwenye video Loveness Tarimo akizungumzia suala hilo.