Picha ya DJ Ally B
DJ Ally B amefunguka hilo kwa kushea video clip katika page yake ya Instagram akieleza hilo na kuandika "Jamani mnielewe tu, me sijachangisha harusi yangu na Mama Simbaa, hivyo mjue mi simchangii mtu".
Yuko sahihi katika hilo au amepuyanga?