Wednesday , 8th Nov , 2023

Msanii Dogo Janja ametia neno kuhusu video inayomuonesha rapa Billnass akiwa na silaha akisema ni sababu ya ulinzi pia ni mfanyabiashara ni muhimu kuwa nayo.

Msanii Dogo Janja

Kwa upande wake anasema hawezi kumiliki silaha kwa sababu anaamini hana baya na mtu pia anamtemea zaidi Mungu kwenye ulinzi wake.

Zaidi tazama hapo chini kwenye video.