Wednesday , 1st Nov , 2023

Msanii wa filamu Tanzania Vincent Kigosi 'Ray The Greatest' ametamba kuwa yeye ndio muigazaji namba 1 Africa Mashariki kwa kuigiza na kuandaa filamu.

Picha ya Ray Kigosi

"Mimi ndo msanii namba moja East Africa ma Muasisi wa kazi hizi za Tanzania. Msanii mkongwe mwenye uwezo mkubwa wa kuigiza na ku-produce movie na Tamthilia. Ni nembo ninayoitangaza Tanzania kimataifa na kitaifa" amesema Ray

Filamu ipi unaikubali zaidi kutoka kwake?