Tuesday , 31st Oct , 2023

Winga wa Klabu ya Real Madrid ,Vinicius Jr amesaini nyongeza ya Mkataba mpya na Klabu hiyo ambao utamfanya kuendelea Kusalia Klabuni hapo mpaka mwezi juni Mwaka 2027

Mkataba huo pia una kipengele cha kuachiliwa chenye thamani ya zaidi ya Euro billion 1 ambayo ni sawa na pesa za kitanzania Trilioni 2.7.