
Phoebe Gates ni mtoto wa tatu kwa Bill Gates, amefahamika mtandaoni baada ya kuweka wazi mahusiano yake kupitia mtandao wake wa Instagram mapema July 2022 akiwa na Robert Ross ambaye wengi walimzungimza sana kutokana na muonekano wake.
Kwa sasa kupitia ukurasa wa Phoebe Gates, wa instagram ameweka picha akiwa na mwanaume mwingine ambaye inasemwa ndiye mpenzi wake wa sasa wakiwa Paris, Ufaransa
Maswali yakawa mengi Je, wameachana na Bwana Robert Ross au hii imekaa vipi?