
Picha ya Ommy Dimpoz
Kwa upande wa Mr PKP Ommy Dimpoz ni Shisha ya Marioo kwa sababu akiamka, akienda kuoga, akiwa anakunywa chai na kwenda misele kwenye kichwa chake kuna wimbo huo tu.
Ommy Dimpoz anasema anatamani hata amkamate #Marioo ampige vichwa na mitama kwa disturb the peace mtaani kwa ngoma yake hiyo ya Shisha.
Zaidi tazama hapa kwenye video akizungumzia hilo.