Thursday , 19th Oct , 2023

Rapa wa Majengo Sokoni Music Moni Centrozone amefunguka kumu-unfollow Harmonize baada ya CEO huyo wa Konde Gang kuanza kumu-unfollow Moni mtandao wa Instagram.

Picha ya Moni Centrozone

Moni Centrozone ameweka wazi hilo kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio. Zaidi tazama hapo kwenye video akizungumzia hilo.