Monday , 16th Oct , 2023

Tegemea kusikia ngoma mpya kutoka kwa The Heavyweight MC Professor Jay na Alikiba baada ya wawili hao kuzama studio kurekodi.

Picha ya Professor Jay na Alikiba

Professor Jay ameshea hilo kwenye page yake ya Instagram akiandika "KING anapokutana na KING Alikiba studio Session. Yajayo yanafurahisha sana".

Wangapi wapo tayari kwa Collabo hili la King na King?