Wednesday , 11th Oct , 2023

Usiku wa kuamkia leo zimefanyika BET HipHop Awards 2023 ambapo rapa Kendrick Lamar ameondoka na tuzo 4 mbele ya Busta Rhymes, Drake, Cardi B, J Cole, Burna Boy, Lil Uzi Vert, 21 Savage, Megan Thee Stallion na Da Baby.

Picha ya Rapa Kendrick Lamar

Tuzo hizo 4 alizoshinda Kendrick Lamar ni HipHop Artist Of The Year, Lyricist Of The Year, Best Live Performer na Video Director of The Year.

Hii hapa ni baadhi ya list za washindi hao wa BET HipHop Awards 2023 ambapo Host wa tuzo hizo ni Fat Joe.

Swizz Beatz & Timbaland - The Rock The Bells Cultural Influence

Drake & 21 Savage - Hip Hop Album of the Year (Her Loss)

Lil Uzi Vert - Song Of The Year (Just wanna rock)

Ice Spice - Best Breakthrough Hip-Hop Artist

Black Sherif - Best International Flow

Caresha Please - Best Hip-Hop Platform