Tuesday , 26th Sep , 2023

Canadian Rapper Drizzy Drake ameipa mashavu na heshima Atlanta, Marekani kwa kusema ni sehemu muhimu zaidi katika muziki wa Rap.

Picha ya rapa Drake akifanya show

Hayo ameyasema kwenye Tour yake ya 'All A Blur' huko Atlanta akishirikiana na rapa wa Atlanta 21 Savage ambaye walishirikiana kwenye Album ya "Her Loss" walioiachia 2022.

Tour hiyo Ilianza Julai 5, 2023 Chicago, na imepangwa kuhitimishwa huko Columbus Oktoba 9, 2023.