
Ushindi wa Bola Tinubu, wa chama cha All Progressives Congress, unapingwa na wapinzani wake wakuu wawili.
Ushindi wa Bola Tinubu, wa chama cha All Progressives Congress, unapingwa na wapinzani wake wakuu wawili.
Peter Obi na Atiku Abubakar wanataka mahakama ifute uchaguzi huo kwa sababu ya madai ya ukiukwaji wa sheria.
Mahakama hiyo ina uwezo wa kufutilia mbali kura hiyo na kutoa wito wa kufanyika tena kwa uchaguzi huo lakini uamuzi huo unaweza kukata rufaa katika mahakama ya juu.
Uamuzi wake unaweza kuwa na athari kubwa kwa uchaguzi ujao katika demokrasia yenye watu wengi zaidi barani Afrika.Hata hivyo, hakuna matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyobatilishwa tangu Nigeria iliporejea katika utawala wa kiraia karibu robo karne iliyopita.