
Wamaasai waliofikishwa mahakamani
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara ACP George Katabazi, amethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi unaendelea dhidi ya tukio hilo.
East Africa TV imezungumza na Diwani wa Kata ya Lengateti Hamis Sempela, ambaye naye alinusurika kichapo hicho huku mmoja wa wananchi hao akitaja sababu watu kujichukulia sheria mkononi