KITENGO - BABU TALE
Manager na supplier mkubwa mjini Babu Tale akiweka wazi kuhusu ushiriano wake na Said Fella, Kazi na wasanii aliofanyanao kazi pale Tip Top connection.
Mgodi D-manyuti
D-manyuti akiwa na nyimbo yake - Damu Damu, yuko ndani ya mgodini akielezea ni nini kimemfanya awe msanii.
Top 3 - C-pwaa
Pata kujua zile video ambazo zimependwa sana ndani ya Plnet bongo Top 3.