Thursday , 9th Jun , 2022

Ni Headlines za 'Mr Chocolate Flavour' mwenye nyota ya chips mayai Bob Juniortz anasema cheni, pete na mavazi aliyovaa kwenye mwili wake yana thamani ya nyumba ya gharama.

Picha ya msanii Bob Junior

Pia anasema muoenakano akitokelezea mbele za watu ni pesa. 

Zaidi tazama hapa kwenye video akizungumzia hilo.