Picha ya Tannah kushoto, upande wa kulia ni Barbie Mia
Tannah amesema nywele huleta muonekano mzuri na hata usipovaa chochote unakuwa tayari ushapendeza.
Zaidi tazama hapa kwenye video.
Unaambiwa kila kiungo cha mwanamke kina gharama yake kwenye mwili, Member wa 'Female Gang' Official Tannah anasema sio tatizo kwake kununua nywele 'Wigi' la Tsh Milioni Tano.
Picha ya Tannah kushoto, upande wa kulia ni Barbie Mia
Tannah amesema nywele huleta muonekano mzuri na hata usipovaa chochote unakuwa tayari ushapendeza.
Zaidi tazama hapa kwenye video.