Tuesday , 5th Apr , 2022

Tanzania imetajwa kuwa ni miongoni mwa maeneo salama na mazuri kutembelea duniani kwa mwaka 2022.

Alyssa Ramos akiwa Tanzania

Hii ni kwa mujibu wa maoni yaliyokusanywa na Jarida la Forbes juu ya maeneo gani bora ya watu kwenda kufurahi na kupumzika haswa baada ya hali kuanza kuwa shwari baada ya janga la Uviko-19.

Tanzania imependezwa na Alyssa Ramos,  mtayarishaji maudhui na mjasiriamali ambaye ameyataja maeneo mengi ikiwemo Zanzibar, Hifadhi ya Ruaha, Serengeti na maeneo mengine.

Bonyeza link hii Maeneo ya kutembelea 2022 kusoma maeneo mengine yaliyotajwa