Picha ya Msanii Damian Soul
Damian amesema hajali lolote mbaya linalozungumziwa kuhusu yeye kwani anajua wengi wanao comment vibaya juu ya muonekano wake hawajui uhalisia wa maisha yake.
Msikilize zaidi hapa
Mkali wa ngoma ya Mapopo, Damian Soul amewafungukia wale ambao wanazungumzia vibaya kuhusu muonekano wake wa mavazi na namna ambavyo anajiweka.