
Picha ya Msami Baby kulia, kushoto ni Barakah The Prince
"Barakah hana pesa ya kunilipa, wakati anaanza kuimba mimi nishaacha kucheza nafundisha na umaarufu ninao, yule ni kijana wangu wakati mwingine hana pesa ya kula namsaidia, namuwezesha kwenye bodaboda na namtumia miamala ili kumsave" amesema Msami Baby
Wawili hao wamekuwa wakitupiana maneno mitandaoni kuhusu madai ya kushuka kwa muziki Bongo, zaidi mtazame hapo chini kwenye video.